~ ~ Mishono Ilonibamba Wiki Hii #2016 ~ ~

Mishono ni mingi sana huko instagram na kwenye blogs mbalimbali,ila najitahidi kufanya selections ya ile mizuri au yenye kitu kipya maana ni ukweli kuwa mishono inajirudia vitambaa ndo huwa ni tofauti.